Romans 3:6
La hasha! Kama hivyo ndivyo ilivyo, Mungu angehukumuje ulimwengu?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
God forbid: for then how shall God judge the world?
In Context
Cross References
Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1
Psalms 9:8Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki, 2 atatawala mataifa kwa haki. 1
Psalms 50:6Nazo mbingu zinatangaza haki yake, 2 kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu. 1
Psalms 98:9vyote na viimbe mbele za Bwana, 2 kwa maana yuaja kuhukumu dunia. 1 Atahukumu dunia kwa haki 2 na mataifa kwa haki.
Romans 2:16Hili litatukia siku hiyo Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu kwa njia ya Yesu Kristo, kama isemavyo Injili yangu. 1 Wayahudi Na Sheria