Genesis 1:17
Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And God set them in the firmament of the heaven to give light upon the earth,
In Context
18itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema.
Cross References
Genesis 9:13Nimeweka upinde wangu wa mvua mawinguni, nao utakuwa ishara ya Agano nifanyalo kati yangu na dunia.
Psalms 8:1Ee Bwana, Bwana wetu, 2 tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote! 1 Umeuweka utukufu wako 2 juu ya mbingu. 1
Acts 13:47Kwa maana hili ndilo Bwana alilotuamuru: 1 “ ‘Nimewafanya ninyi kuwa nuru kwa watu wa Mataifa, 2 ili mpate kuuleta wokovu hadi miisho ya dunia.’ ”