Genesis 1:16
Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo.
17Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia,
Cross References
Deuteronomy 4:19Na utazamapo juu angani na ukaliona jua, mwezi na nyota na vyote vinavyoipamba mbingu, usije ukashawishiwa kuviinamia na kuviabudu vile ambavyo Bwana Mungu wenu alivyogawia mataifa yote chini ya mbingu.
Job 31:26kama nimelitazama jua katika kungʼaa kwake 2 au mwezi ukienda kwa fahari yake, 1
Psalms 8:3Nikiziangalia mbingu zako, 2 kazi ya vidole vyako, 1 mwezi na nyota, 2 ulizoziratibisha, 1
Psalms 74:16Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia, 2 uliziweka jua na mwezi. 1
Psalms 136:9Mwezi na nyota vitawale usiku, Fadhili zake zadumu milele. 1
Psalms 148:5Vilisifu jina la Bwana 2 kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa. 1