Mwanzo 1:20
Mungu akasema, “Kuwepo na viumbe hai tele kwenye maji, nao ndege waruke juu ya dunia katika nafasi ya anga.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya nne.
Cross References
Genesis 1:14Mungu akasema, “Iwepo mianga kwenye nafasi ya anga ili itenganishe usiku na mchana, nayo iwe alama ya kutambulisha majira mbalimbali, siku na miaka,
Genesis 1:30Nao wanyama wote wa dunia, ndege wote wa angani, na viumbe vyote viendavyo juu ya ardhi: yaani kila kiumbe chenye pumzi ya uhai, ninawapa kila mche wa kijani kuwa chakula.” Ikawa hivyo.
Genesis 8:17Utoe nje kila aina ya kiumbe hai aliye pamoja nawe: Ndege, wanyama na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi, ili wakazae, na kuongezeka na kuijaza tena dunia.”
Job 12:9Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua 2 kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili? 1
Psalms 104:25Pale kuna bahari, kubwa na yenye nafasi tele, 2 imejaa viumbe visivyo na idadi, 2 vitu vyenye uhai vikubwa na vidogo. 1
Ecclesiastes 2:21Kwa kuwa mtu anaweza kufanya kazi yake kwa hekima, maarifa na ustadi, kisha analazimika kuacha vyote alivyo navyo kwa mtu mwingine ambaye hajavifanyia kazi. Hili nalo pia ni ubatili tena ni balaa kubwa.