Mwanzo 1:14
Mungu akasema, “Iwepo mianga kwenye nafasi ya anga ili itenganishe usiku na mchana, nayo iwe alama ya kutambulisha majira mbalimbali, siku na miaka,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tatu.
15nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo.
Cross References
Genesis 9:13Nimeweka upinde wangu wa mvua mawinguni, nao utakuwa ishara ya Agano nifanyalo kati yangu na dunia.
Job 3:9Nyota zake za alfajiri na ziwe giza; 2 nao ungojee mwanga bila mafanikio, 1 wala usiuone mwonzi wa kwanza 2 wa mapambazuko, 1
Job 25:5Ikiwa hata mwezi sio mwangavu 2 nazo nyota si safi machoni pake, 1
Job 38:31“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? 2 Waweza kulegeza kamba za Orioni? 1
Psalms 8:4mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, 2 binadamu ni nani hata unamjali? 1
Psalms 74:16Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia, 2 uliziweka jua na mwezi. 1