Genesis 10:18
Waarvadi, Wasemari na Wahamathi. Baadaye koo za Wakanaani zilitawanyika,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 18:22Beth-Araba, Semaraimu, Betheli,
2 Kings 17:24Mfalme wa Ashuru akawaleta watu kutoka Babeli, Kutha, Ava, Hamathi na Sefarvaimu na kuwaweka katika miji ya Samaria badala ya Waisraeli. Wakaimiliki Samaria na kuishi katika miji yake.
2 Chronicles 13:4Abiya akasimama juu ya Mlima Semaraimu, katika nchi ya vilima ya Efraimu, naye akasema, “Yeroboamu na Israeli yote, nisikilizeni mimi!
Ezekiel 27:8Watu kutoka Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia yako; 2 watu wako wenye ustadi, ee Tiro, 2 walikuwa ndio mabaharia wako. 1
Zechariah 9:2pia juu ya Hamathi inayopakana nayo, 2 juu ya Tiro na Sidoni, 2 ingawa wana ujuzi mwingi sana. 1