The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 9 › Zekaria 9:2

Zekaria 9:2

pia juu ya Hamathi inayopakana nayo, 2 juu ya Tiro na Sidoni, 2 ingawa wana ujuzi mwingi sana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Hamath also shall border thereby; Tyrus, and Zidon, though it be very wise.

In Context

1Neno: 1 Neno la Bwana liko kinyume na nchi ya Hadraki 2 na Dameski itakuwa mahali pa kupumzika, 1 kwa kuwa macho ya watu na ya kabila zote 2 za Israeli yako kwa Bwana, 1

3Tiro amejijengea ngome imara, 2 amelundika fedha kama mavumbi 2 na dhahabu kama taka za mitaani. 1

Read all of Zekaria 9

Cross References

1 Kings 17:9“Ondoka, uende Sarepta ya Sidoni na ukae huko. Nimemwagiza mjane katika sehemu ile akupatie chakula.”

2 Kings 25:21Huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, mfalme wa Babeli akaamuru wanyongwe. Hivyo Yuda wakaenda utumwani, mbali na nchi yao.

Jeremiah 49:23Kuhusu Dameski: 1 “Hamathi na Arpadi imetahayarika, 2 kwa kuwa wamesikia habari mbaya. 1 Wamevunjika moyo na wametaabika 2 kama bahari iliyochafuka. 1

Ezekiel 27:1Neno la Bwana likanijia kusema:

Ezekiel 28:2“Mwanadamu, mwambie mfalme wa Tiro, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Kwa sababu moyo wako umejivuna 2 na umesema, “Mimi ni mungu; 1 nami ninaketi katika kiti cha enzi cha mungu 2 katika moyo wa bahari.” 1 Lakini wewe ni mwanadamu, wala si mungu, 2 ingawa unafikiri kuwa una hekima kama mungu. 1

Ezekiel 28:21“Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Sidoni, ukatabiri dhidi yake,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 9:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 9:1Zekaria 9Zekaria 9:3 →