bible.software › Genesis › Genesis 10 › Genesis 10:20
Genesis 10:20
Hawa ni wana wa Hamu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. 2 Wazao Wa Shemu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These are the sons of Ham, after their families, after their tongues, in their countries, and in their nations.
In Context
19na mipaka ya Kanaani ilienea kutoka Sidoni kuelekea Gerari hadi Gaza, kisha kuelekea Sodoma, Gomora, Adma na Seboimu, hadi kufikia Lasha.
21Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi. 1
Read all of Genesis 10
Cross References
Genesis 11:1Wakati huo dunia yote ilikuwa na lugha moja na msemo mmoja.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 10:20