Genesis 10:21
Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Hawa ni wana wa Hamu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. 2 Wazao Wa Shemu
22Wana wa Shemu walikuwa: 2 Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. 1
Cross References
Genesis 11:10Hivi ndivyo vizazi vya Shemu. Miaka miwili baada ya gharika, Shemu alipokuwa na miaka 100, akamzaa Arfaksadi.
1 Chronicles 1:17Wana wa Shemu walikuwa: 2 Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. 1 Wana wa Aramu walikuwa: 2 Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 1