Genesis 10:23
Wana wa Aramu walikuwa: 2 Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the children of Aram; Uz, and Hul, and Gether, and Mash.
In Context
22Wana wa Shemu walikuwa: 2 Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. 1
24Arfaksadi alikuwa baba wa Shela, 2 naye Shela akamzaa Eberi. 1
Cross References
Job 1:1Katika nchi ya Usi paliishi mtu ambaye aliitwa Ayubu. Mtu huyu alikuwa hana hatia, naye alikuwa mkamilifu; alimcha Mungu na kuepukana na uovu.