Genesis 10:24
Arfaksadi alikuwa baba wa Shela, 2 naye Shela akamzaa Eberi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Arphaxad begat Salah; and Salah begat Eber.
In Context
23Wana wa Aramu walikuwa: 2 Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 1
Cross References
Genesis 11:12Wakati Arfaksadi alipokuwa na miaka thelathini na mitano, akamzaa Shela.
Luke 3:35Nahori alikuwa mwana wa Serugi, 1 Serugi alikuwa mwana wa Reu, 1 Reu alikuwa mwana wa Pelegi, 1 Pelegi alikuwa mwana wa Eberi, 1 Eberi alikuwa mwana wa Sala, 1