The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 11 › Genesis 11:10

Genesis 11:10

Hivi ndivyo vizazi vya Shemu. Miaka miwili baada ya gharika, Shemu alipokuwa na miaka 100, akamzaa Arfaksadi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

These are the generations of Shem: Shem was an hundred years old, and begat Arphaxad two years after the flood:

In Context

9Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo Bwana alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo Bwana akawatawanya katika uso wa dunia yote. 1 Shemu Hadi Abramu (1 Nyakati 1:24-27)

11Baada ya kumzaa Arfaksadi, Shemu aliishi miaka 500, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

Read all of Genesis 11

Cross References

Genesis 10:21Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi. 1

1 Chronicles 1:17Wana wa Shemu walikuwa: 2 Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. 1 Wana wa Aramu walikuwa: 2 Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 11:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 11:9Genesis 11Genesis 11:11 →