Genesis 13:1
Hivyo Abramu akakwea kutoka Misri kwenda Negebu, yeye na mkewe na kila kitu alichokuwa nacho, pia Loti akaenda pamoja naye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu.
Cross References
Genesis 12:9Kisha Abramu akasafiri kuelekea upande wa Negebu. 1 Abramu Katika Nchi Ya Misri
Genesis 21:33Abrahamu akapanda mti wa mkwaju huko Beer-Sheba, na hapo akaliitia jina la Bwana, Mungu wa milele.
Joshua 18:5Mtaigawanya hiyo nchi katika sehemu saba. Yuda atabaki katika eneo lake upande wa kusini na nyumba ya Yosefu katika nchi yake upande wa kaskazini.
2 Samuel 24:7Kisha wakaenda kuelekea ngome ya Tiro pamoja na miji yote ya Wahivi na ya Wakanaani. Mwishoni, walikwenda mpaka Beer-Sheba katika Negebu ya Yuda.