Genesis 13:2
Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Abram was very rich in cattle, in silver, and in gold.
In Context
Cross References
Genesis 24:35Bwana amembariki sana bwana wangu, amekuwa tajiri. Amempa kondoo na ngʼombe, fedha na dhahabu, watumishi wa kiume na wa kike, ngamia na punda.
Genesis 26:13Isaki akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana.
Genesis 30:43Kwa njia hii Yakobo akastawi sana, tena akawa na makundi makubwa, watumishi wa kike na wa kiume na ngamia na punda.
1 Samuel 2:7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1
Job 1:10Je, wewe hukumjengea boma pande zote yeye na wa nyumbani mwake pamoja na kila kitu alicho nacho? Kazi za mikono yake umezibariki na hivyo makundi yake ya kondoo na mbuzi pamoja na ya wanyama yameenea katika nchi nzima.
Psalms 112:1Msifuni Bwana. 1 Heri mtu yule amchaye Bwana, 2 mtu yule apendezwaye sana na amri zake. 1