Genesis 13:11
Hivyo Loti akajichagulia bonde lote la Yordani, akaelekea upande wa mashariki. Watu hao wawili wakatengana:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 13:14Baada ya Loti kuondoka Bwana akamwambia Abramu, “Ukiwa hapo ulipo, inua macho yako utazame kaskazini na kusini, mashariki na magharibi.
Psalms 16:3Kwa habari ya watakatifu walioko duniani, 2 ndio walio wa fahari ambao ninapendezwa nao. 1
Proverbs 27:10Usimwache rafiki yako wala rafiki wa baba yako, 2 tena usiende nyumbani mwa ndugu yako 2 wakati umepatwa na maafa. 1 Bora jirani wa karibu 2 kuliko ndugu aliye mbali. 1
1 Peter 2:17Mheshimuni kila mtu ipasavyo: Wapendeni jamaa ya ndugu waumini, mcheni Mungu, mpeni heshima mfalme.