Genesis 13:14
Baada ya Loti kuondoka Bwana akamwambia Abramu, “Ukiwa hapo ulipo, inua macho yako utazame kaskazini na kusini, mashariki na magharibi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Basi watu wa Sodoma walikuwa waovu, wakifanya sana dhambi dhidi ya Bwana.
15Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
Cross References
Genesis 28:14Uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi na mashariki, kaskazini na kusini. Kupitia wewe na uzao wako mataifa yote ya duniani yatabarikiwa.
Isaiah 49:18Inua macho yako ukatazame pande zote: 2 wana wako wote wanakusanyika na kukujia. 1 Kwa hakika kama vile niishivyo, 2 utawavaa wote kama mapambo, 1 na kujifunga nao kama bibi arusi,” 2 asema Bwana. 1