bible.software › Genesis › Genesis 13 › Genesis 13:6
Genesis 13:6
Lakini nchi haikuwatosha kukaa pamoja kwa ajili ya wingi wa mali zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the land was not able to bear them, that they might dwell together: for their substance was great, so that they could not dwell together.
In Context
5Basi Loti, ambaye alikuwa anafuatana na Abramu, alikuwa pia na makundi ya mbuzi, kondoo, ngʼombe na mahema.
7Ukazuka ugomvi kati ya wachunga mifugo wa Abramu na wale wa Loti. Wakati huo, Wakanaani na Waperizi ndio waliokuwa wenyeji wa nchi hiyo.
Read all of Genesis 13
Cross References
Genesis 36:7Mali zao zilikuwa nyingi sana kiasi kwamba haikuwa rahisi wao kuishi pamoja, nchi waliyokuwa wakiishi isingewatosha wote kwa ajili ya mifugo yao.
Luke 12:17Akawaza moyoni mwake, ‘Nifanye nini? Sina mahali pa kuhifadhi mavuno yangu.’
This Verse In Other Editions
Study Genesis 13:6