Genesis 14:2
kwa pamoja walikwenda kupigana vita dhidi ya Bera mfalme wa Sodoma, Birsha mfalme wa Gomora, Shinabu mfalme wa Adma, Shemeberi mfalme wa Seboimu, na mfalme wa Bela (yaani Soari).
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 10:19na mipaka ya Kanaani ilienea kutoka Sidoni kuelekea Gerari hadi Gaza, kisha kuelekea Sodoma, Gomora, Adma na Seboimu, hadi kufikia Lasha.
Genesis 19:20Tazama, hapa kuna mji karibu wa kukimbilia, nao ni mdogo. Niruhusuni nikimbilie humo, ni mdogo sana, ama sivyo? Ndipo maisha yangu yatasalimika.”
Deuteronomy 34:3Negebu na nchi yote kuanzia Bonde la Yeriko, Mji wa Mitende, hadi Soari.
Nehemiah 11:34katika Hadidi, Seboimu na Nebalati,
Isaiah 15:5Moyo wangu unamlilia Moabu; 2 wakimbizi wake wanakimbilia Soari, 2 hadi Eglath-Shelishiya. 1 Wanapanda njia ya kwenda Luhithi, 2 wanakwenda huku wanalia; 1 barabarani iendayo Horonaimu 2 wanaombolezea maangamizi yao. 1
Hosea 11:8“Efraimu, ninawezaje kukuacha? 2 Ee Israeli, ninawezaje kukutoa? 1 Nitawezaje kukutendea kama Adma? 2 Nitawezaje kukufanya kama Seboimu? 1 Moyo wangu umegeuka ndani yangu, 2 huruma zangu zote zimeamshwa. 1