Isaya 15:5
Moyo wangu unamlilia Moabu; 2 wakimbizi wake wanakimbilia Soari, 2 hadi Eglath-Shelishiya. 1 Wanapanda njia ya kwenda Luhithi, 2 wanakwenda huku wanalia; 1 barabarani iendayo Horonaimu 2 wanaombolezea maangamizi yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 14:2kwa pamoja walikwenda kupigana vita dhidi ya Bera mfalme wa Sodoma, Birsha mfalme wa Gomora, Shinabu mfalme wa Adma, Shemeberi mfalme wa Seboimu, na mfalme wa Bela (yaani Soari).
2 Samuel 15:23Watu wote wa nje ya mji wakalia kwa sauti wakati watu wote walipokuwa wakipita. Mfalme naye akavuka Bonde la Kidroni, nao watu wote wakaelekea jangwani.
Isaiah 16:9Hivyo ninalia kama Yazeri aliavyo, 2 kwa ajili ya mizabibu ya Sibma. 1 Ee Heshboni, ee Eleale, 2 ninakulowesha kwa machozi! 1 Kelele za furaha kwa ajili ya tunda lako lililoiva 2 na kwa ajili ya mavuno zimekomeshwa. 1
Isaiah 22:5Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, anayo siku 2 ya ghasia, ya kukanyaga, na ya kuogofya 2 katika Bonde la Maono, 1 siku ya kuangusha kuta 2 na ya kupiga kelele mpaka milimani. 1
Jeremiah 8:18Ee Mfariji wangu katika huzuni, 2 moyo wangu umezimia ndani yangu. 1
Jeremiah 9:18Nao waje upesi 2 na kutuombolezea, 1 mpaka macho yetu yafurike machozi 2 na vijito vya maji vitoke kwenye kope zetu. 1