bible.software › Genesis › Genesis 14 › Genesis 14:4
Genesis 14:4
Walikuwa wametawaliwa na Mfalme Kedorlaoma kwa miaka kumi na miwili, lakini mwaka wa kumi na tatu waliasi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Twelve years they served Chedorlaomer, and in the thirteenth year they rebelled.
In Context
3Hawa wote waliotajwa mwishoni waliunganisha majeshi yao kutoka Bonde la Sidimu (yaani Bahari ya Chumvi).
5Mnamo mwaka wa kumi na nne, Mfalme Kedorlaoma na wafalme waliojiunga naye walikwenda kupigana na kuwashinda Warefai katika Ashtaroth-Kanaimu, Wazuzi katika Hamu, Waemi katika Shawe-Kiriathaimu,
Read all of Genesis 14
Cross References
Genesis 9:25akasema, 1 “Alaaniwe Kanaani! 2 Atakuwa mtumwa wa chini sana 2 kuliko watumwa wote kwa ndugu zake.”
This Verse In Other Editions
Study Genesis 14:4