Mwanzo 15:11
Kisha ndege walao nyama wakatua juu ya mizoga, lakini Abramu akawafukuza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when the fowls came down upon the carcases, Abram drove them away.
In Context
Cross References
Psalms 119:13Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote 2 zinazotoka katika kinywa chako. 1
Ezekiel 17:7“ ‘Lakini kulikuwa na tai mwingine mkubwa, mwenye mabawa yenye nguvu yaliyojaa manyoya. Tazama! Huu mzabibu ukatoa mizizi yake kumwelekea huyo tai kutoka mle kwenye shamba lile ulikopandwa na kutanda matawi yake kumwelekea kwa ajili ya kupata maji.