The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 15 › Genesis 15:3

Genesis 15:3

Abramu akasema, “Hukunipa watoto, hivyo mtumishi katika nyumba yangu ndiye atakuwa mrithi wangu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Abram said, Behold, to me thou hast given no seed: and, lo, one born in my house is mine heir.

In Context

2Lakini Abramu akasema, “Ee Bwana Mwenyezi, utanipa nini na mimi sina hata mtoto na atakayerithi nyumba yangu ni huyu Eliezeri Mdameski?”

4Ndipo neno la Bwana lilipomjia: “Mtu huyu hatakuwa mrithi wako, bali mwana atakayetoka katika viuno vyako mwenyewe ndiye atakayekuwa mrithi wako.”

Read all of Genesis 15

Cross References

Genesis 13:16Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika.

Proverbs 13:12Kilichotarajiwa kikikawia kuja moyo huugua, 2 bali tumaini lililotimizwa ni mti wa uzima. 1

Proverbs 30:23mwanamke asiyependwa aolewapo, 2 naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake. 1

Jeremiah 12:1Wewe daima u mwenye haki, Ee Bwana, 2 niletapo mashtaka mbele yako. 1 Hata hivyo nitazungumza nawe kuhusu hukumu yako: 2 Kwa nini njia ya waovu inafanikiwa? 1 Kwa nini wasio waaminifu 2 wote wanaishi kwa raha? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 15:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 15:2Genesis 15Genesis 15:4 →