Proverbs 30:23
mwanamke asiyependwa aolewapo, 2 naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For an odious woman when she is married; and an handmaid that is heir to her mistress.
In Context
22Mtumwa awapo mfalme, 2 mpumbavu ashibapo chakula, 1
24“Vitu vinne duniani vilivyo vidogo, 2 lakini vina akili nyingi sana: 1
Cross References
Proverbs 19:13Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye, 2 naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha. 1
Proverbs 21:19Ni afadhali kuishi jangwani 2 kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. 1
Proverbs 29:21Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani, 2 atamletea sikitiko mwishoni. 1