The Bible Software
bible.softwareMwanzoMwanzo 16 › Mwanzo 16:15

Mwanzo 16:15

Hivyo Hagari akamzalia Abramu mwana, naye Abramu akamwita huyo mwana Hagari aliyemzalia, Ishmaeli.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Hagar bare Abram a son: and Abram called his son’s name, which Hagar bare, Ishmael.

In Context

14Ndiyo sababu kisima kile kikaitwa Beer-Lahai-Roi, + 16:14 Beer-Lahai-Roi maana yake Yeye Aliye Hai Anionaye Mimi. ambacho bado kipo huko hata leo kati ya Kadeshi na Beredi.

16Abramu alikuwa na umri wa miaka themanini na sita wakati Hagari alipomzalia Ishmaeli.

Read all of Mwanzo 16

Cross References

Genesis 17:18Abrahamu akamwambia Mungu, “Laiti Ishmaeli naye angeshiriki baraka yako!”

Genesis 17:25naye Ishmaeli mwanawe alitahiriwa akiwa na umri wa miaka kumi na mitatu.

Genesis 25:9Watoto wake Isaki na Ishmaeli wakamzika katika pango la Makpela karibu na Mamre, katika shamba lililokuwa la Efroni mwana wa Sohari Mhiti,

Genesis 28:9Ndipo Esau akaenda kwa Ishmaeli, akamwoa Mahalati, ndugu wa Nebayothi na binti wa Ishmaeli mwana wa Abrahamu, kuongezea wale wake wengine aliokuwa nao. 1 Ndoto Ya Yakobo Huko Betheli

1 Chronicles 1:28Abrahamu alikuwa na wana wawili: 2 Isaki na Ishmaeli. 2 Wazao Wa Hagari (Mwanzo 25:12-16) 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mwanzo 16:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mwanzo 16:14Mwanzo 16Mwanzo 16:16 →