Genesis 28:9
Ndipo Esau akaenda kwa Ishmaeli, akamwoa Mahalati, ndugu wa Nebayothi na binti wa Ishmaeli mwana wa Abrahamu, kuongezea wale wake wengine aliokuwa nao. 1 Ndoto Ya Yakobo Huko Betheli
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Esau akatambua jinsi ambavyo baba yake Isaki anavyowachukia binti za Wakanaani.
10Yakobo akatoka Beer-Sheba kwenda Harani.
Cross References
Genesis 26:34Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti.
Genesis 36:13Wana wa Reueli ni: 2 Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Basemathi mkewe Esau. 4