The Bible Software
bible.softwareMwanzoMwanzo 17 › Mwanzo 17:19

Mwanzo 17:19

Ndipo Mungu akasema, “Ndiyo, lakini mkeo Sara atakuzalia wewe mwana, nawe utamwita jina lake Isaki. + 17:19 Isaki maana yake Kucheka. Nitalithibitisha Agano langu naye kama Agano la milele kwa ajili yake na wazao wake baada yake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And God said, Sarah thy wife shall bear thee a son indeed; and thou shalt call his name Isaac: and I will establish my covenant with him for an everlasting covenant, and with his seed after him.

In Context

18Abrahamu akamwambia Mungu, “Laiti Ishmaeli naye angeshiriki baraka yako!”

20Kwa upande wa Ishmaeli, nimekusikia: hakika nitambariki, nitamfanya awe na uzao mwingi na nitaongeza sana idadi yake. Atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kubwa.

Read all of Mwanzo 17

Cross References

Genesis 16:11Pia malaika wa Bwana akamwambia: 1 “Wewe sasa una mimba 2 nawe utamzaa mwana. 1 Utamwita jina lake Ishmaeli, + 16:11 Ishmaeli maana yake Mungu husikia. 2 kwa sababu Bwana amesikia juu ya huzuni yako. 1

Genesis 18:10Kisha Bwana akasema, “Hakika nitakurudia tena majira kama haya mwakani na Sara mkeo atakuwa ana mwana.” Sara alikuwa akiwasikiliza kwenye ingilio la hema, lililokuwa nyuma yake.

Genesis 21:3Abrahamu akamwita Isaki yule mwana ambaye Sara alimzalia.

Genesis 26:3Kaa katika nchi hii kwa kitambo, mimi nitakuwa pamoja na wewe na nitakubariki. Kwa maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote na nitatimiza kiapo nilichomwapia Abrahamu baba yako.

Luke 1:13Lakini malaika akamwambia, “Usiogope, Zekaria, kwa maana Mungu amesikia maombi yako. Mkeo Elizabeti atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utamwita jina lake Yohana.

Galatians 4:28Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaki, tu watoto wa ahadi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mwanzo 17:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mwanzo 17:18Mwanzo 17Mwanzo 17:20 →