The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 16 › Genesis 16:11

Genesis 16:11

Pia malaika wa Bwana akamwambia: 1 “Wewe sasa una mimba 2 nawe utamzaa mwana. 1 Utamwita jina lake Ishmaeli, + 16:11 Ishmaeli maana yake Mungu husikia. 2 kwa sababu Bwana amesikia juu ya huzuni yako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the angel of the LORD said unto her, Behold, thou art with child, and shalt bear a son, and shalt call his name Ishmael; because the LORD hath heard thy affliction.

In Context

10Malaika akaendelea akasema, “Nitazidisha wazao wako, hivi kwamba watakuwa wengi mno wasiohesabika.”

12Atakuwa punda-mwitu katikati ya wanadamu, 2 mkono wake utakuwa dhidi ya kila mtu 2 na mkono wa kila mtu dhidi yake, 1 naye ataishi kwa uhasama 2 na ndugu zake wote.”

Read all of Genesis 16

Cross References

Genesis 21:17Mungu akamsikia kijana akilia, malaika wa Mungu akamwita Hagari kutoka mbinguni na kumwambia, “Kuna nini Hagari? Usiogope, Mungu amesikia kijana analia akiwa amelala pale.

Genesis 41:51Yosefu akamwita mzaliwa wake wa kwanza Manase, akisema, “Ni kwa sababu Mungu amenifanya nisahau taabu zangu zote pamoja na jamaa yote ya nyumba ya baba yangu.”

Exodus 3:7Bwana akamwambia, “Hakika nimeona mateso ya watu wangu katika Misri. Nimesikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao, nami naguswa na mateso yao.

1 Samuel 1:20Hivyo wakati ulipotimia, Hana akapata mimba na akamzaa mwana. Hana akamwita jina lake Samweli, akasema, “Kwa kuwa nilimwomba kwa Bwana.” 1 Hana Anamweka Samweli Wakfu

Psalms 22:24Kwa maana hakupuuza wala kudharau 2 mateso ya aliyeonewa; 1 hakumficha uso wake 2 bali alisikiliza kilio chake ili amsaidie. 1

Matthew 1:21Naye atamzaa mwana, nawe utamwita Jina lake Yesu, + 1:21 Yesu ni Iesous kwa Kiyunani, na kwa Kiebrania ni Yoshua au Yeshua. Maana yake ni Yehova ni wokovu. kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 16:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 16:10Genesis 16Genesis 16:12 →