Genesis 17:21
Lakini Agano langu nitalithibitisha kwa Isaki, ambaye Sara atakuzalia mwaka ujao majira kama haya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Wakati alipomaliza kuzungumza na Abrahamu, Mungu akapanda juu akaondoka kwa Abrahamu.
Cross References
Genesis 18:10Kisha Bwana akasema, “Hakika nitakurudia tena majira kama haya mwakani na Sara mkeo atakuwa ana mwana.” Sara alikuwa akiwasikiliza kwenye ingilio la hema, lililokuwa nyuma yake.
Genesis 21:2Sara akapata mimba, akamzalia Abrahamu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi.
Genesis 26:2Bwana akamtokea Isaki, akamwambia, “Usiende Misri, bali ukae katika nchi nitakayokuambia.
Genesis 48:15Ndipo akambariki Yosefu akisema, 1 “Mungu ambaye baba zangu 2 Abrahamu na Isaki walimtii, 1 Mungu ambaye amekuwa mchungaji 2 wa maisha yangu yote mpaka leo hii, 1
Exodus 3:6Kisha akamwambia, “Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo.” Mose aliposikia hayo, akafunika uso wake kwa sababu aliogopa kumtazama Mungu.
Luke 1:55Abrahamu na uzao wake milele, 2 kama alivyowaahidi baba zetu.”