The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 1 › Luke 1:55

Luke 1:55

Abrahamu na uzao wake milele, 2 kama alivyowaahidi baba zetu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As he spake to our fathers, to Abraham, and to his seed for ever.

In Context

54Amemsaidia mtumishi wake Israeli, 2 kwa kukumbuka ahadi yake ya kumrehemu 1

56Maria akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake. 1 Kuzaliwa Kwa Yohana Mbatizaji

Read all of Luke 1

Cross References

Genesis 12:3Nitawabariki wale wanaokubariki, 2 na yeyote akulaaniye nitamlaani; 1 na kupitia kwako mataifa yote duniani 2 yatabarikiwa.”

Genesis 22:18na kupitia uzao wako mataifa yote duniani yatabarikiwa, kwa sababu umenitii.”

Genesis 28:14Uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi na mashariki, kaskazini na kusini. Kupitia wewe na uzao wako mataifa yote ya duniani yatabarikiwa.

Psalms 132:11Bwana alimwapia Daudi kiapo, 2 kiapo cha uhakika ambacho hatakitangua: 1 “Nitamweka mmoja wa wazao wako mwenyewe 2 katika kiti chako cha enzi, 1

Galatians 3:16Ahadi zilinenwa kwa Abrahamu na kwa mzao wake. Maandiko hayasemi “kwa wazao,” likimaanisha watu wengi, bali “kwa mzao wako,” yaani mtu mmoja, ndiye Kristo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 1:55

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 1:54Luke 1Luke 1:56 →