bible.software › Genesis › Genesis 17 › Genesis 17:9
Genesis 17:9
Ndipo Mungu akamwambia Abrahamu, “Kwa upande wako, lazima ushike Agano langu, wewe na wazao wako kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And God said unto Abraham, Thou shalt keep my covenant therefore, thou, and thy seed after thee in their generations.
In Context
8Nchi yote ya Kanaani, unakoishi sasa kama mgeni, nitakupa kuwa milki yako milele, na uzao wako, nami nitakuwa Mungu wao.”
10Hili ni Agano langu na wewe pamoja na wazao wako baada yako, Agano mtakalolishika: Kila mwanaume miongoni mwenu atatahiriwa.
Read all of Genesis 17
Cross References
Psalms 25:10Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu 2 kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake. 1
Isaiah 56:4Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa matowashi washikao Sabato zangu, 2 ambao huchagua kile kinachonipendeza 2 na kulishika sana agano langu: 1
This Verse In Other Editions
Study Genesis 17:9