The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 56 › Isaiah 56:4

Isaiah 56:4

Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa matowashi washikao Sabato zangu, 2 ambao huchagua kile kinachonipendeza 2 na kulishika sana agano langu: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thus saith the LORD unto the eunuchs that keep my sabbaths, and choose the things that please me, and take hold of my covenant;

In Context

3Usimwache mgeni aambatanaye na Bwana aseme, 2 “Hakika Bwana atanitenga na watu wake.” 1 Usimwache towashi yeyote alalamike akisema, 2 “Mimi ni mti mkavu tu.”

5hao nitawapa ndani ya Hekalu langu na kuta zake 2 kumbukumbu na jina bora 2 kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike: 1 nitawapa jina lidumulo milele, 2 ambalo halitakatiliwa mbali. 1

Read all of Isaiah 56

Cross References

Joshua 24:15Lakini msipoona vyema kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia, kama ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ngʼambo Frati, au miungu ya Waamori, ambao mnakaa katika nchi yao. Lakini mimi na nyumba yangu, tutamtumikia Bwana.”

Psalms 25:10Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu 2 kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake. 1

Isaiah 27:5Au niwaache waje kwangu kwa ajili ya kupata kimbilio, 2 wao na wafanye amani nami, 2 naam, wafanye amani nami.” 1

Isaiah 56:2Amebarikiwa mtu yule atendaye hili, 2 mtu yule alishikaye kwa uthabiti, 1 yeye ashikaye Sabato bila kuinajisi, 2 auzuiaye mkono wake usifanye uovu wowote.” 1

Jeremiah 50:5Wataiuliza njia iendayo Sayuni 2 na kuelekeza nyuso zao huko. 1 Watakuja na kuambatana na Bwana 2 katika agano la milele 2 ambalo halitasahaulika. 1

Hebrews 6:17Mungu alipotaka kuonyesha kwa udhahiri zaidi ile asili ya kutokubadilika kwa ahadi yake kwa warithi wa ahadi, aliithitibisha kwa kiapo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 56:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 56:3Isaiah 56Isaiah 56:5 →