Genesis 19:17
Mara walipokwisha kuwatoa nje, mmoja wao akawaambia, “Mkimbie kwa usalama wenu! Msitazame nyuma, wala msisimame popote katika nchi tambarare! Kimbilieni milimani, ama sivyo mtaangamizwa!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Lakini Loti akawajibu, “La hasha, bwana zangu, tafadhalini!
Cross References
Genesis 18:22Basi wale watu wakageuka wakaenda kuelekea Sodoma, lakini Abrahamu akabaki amesimama mbele za Bwana.
Genesis 19:22Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari. + 19:22 Soari maana yake Mdogo.)
1 Samuel 19:11Sauli akatuma watu nyumbani mwa Daudi wailinde hiyo nyumba na kumuua asubuhi. Lakini Mikali, mkewe Daudi, akamwonya akisema, “Kama hukukimbia kuokoa maisha yako usiku huu, kesho yake utauawa.”
1 Kings 19:3Eliya aliogopa, na akakimbia kuokoa maisha yake. Alipofika Beer-Sheba katika Yuda, akamwacha mtumishi wake huko,
Jeremiah 48:6Kimbieni! Okoeni maisha yenu, 2 kuweni kama kichaka jangwani. 1
Matthew 24:16basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani.