Genesis 19:16
Alipositasita, wale watu wakamshika mkono wake na mikono ya mke wake na binti zake wawili na kuwaongoza salama nje ya mji, kwa kuwa Bwana alikuwa na huruma kwao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 34:6Bwana akapita mbele ya Mose, akitangaza, “ Bwana, Bwana, Mungu mwenye huruma na neema, asiye mwepesi wa hasira, mwingi wa upendo na uaminifu,
Deuteronomy 4:31Kwa maana Bwana Mungu wenu ni Mungu mwenye huruma, hatawaacha au kuwaangamiza wala kusahau Agano alilofanya na baba zenu, alilowathibitishia kwa kiapo. 1 Bwana Ndiye Mungu
1 Chronicles 16:34Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; 2 upendo wake wadumu milele. 1
Psalms 86:5Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe, 2 umejaa upendo kwa wote wakuitao. 1
Psalms 103:8Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema; 2 si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo. 1
Psalms 106:1Msifuni Bwana. 1 Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema; 2 upendo wake wadumu milele. 1