Genesis 19:30
Loti na binti zake wawili waliondoka Soari na kufanya makao yao kule milimani, kwa maana aliogopa kukaa Soari. Yeye na binti zake wawili waliishi katika pango.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 14:22Lakini Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, “Nimeinua mkono wangu kwa Bwana, Mungu Aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na dunia, na nimeapa
Genesis 19:19Mtumishi wenu amepata kibali mbele ya macho yenu, nanyi mmeonyesha wema mkubwa kwangu kwa kuokoa maisha yangu. Lakini siwezi kukimbilia milimani, janga hili litanikumba, nami nitakufa.
Deuteronomy 34:3Negebu na nchi yote kuanzia Bonde la Yeriko, Mji wa Mitende, hadi Soari.
Jeremiah 2:36Kwa nini unatangatanga sana, 2 kubadili njia zako? 1 Utakatishwa tamaa na Misri 2 kama ulivyokatishwa na Ashuru. 1
James 1:8Yeye ni mtu mwenye nia mbili, mwenye kusitasita katika njia zake zote. 1 Umaskini Na Utajiri