James 1:8
Yeye ni mtu mwenye nia mbili, mwenye kusitasita katika njia zake zote. 1 Umaskini Na Utajiri
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A double minded man is unstable in all his ways.
In Context
7Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana.
9Ndugu asiye na cheo kikubwa yampasa ajivunie hali hiyo maana ametukuzwa.
Cross References
2 Kings 17:33Walimwabudu Bwana, lakini pia waliitumikia miungu yao kulingana na desturi za mataifa walikotoka.
Isaiah 29:13Bwana anasema: 1 “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao 2 na kuniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1 Ibada yao kwangu inatokana na maagizo 2 waliyofundishwa na wanadamu. 1
Hosea 10:2Moyo wao ni mdanganyifu, 2 nao sasa lazima wachukue hatia yao. 1 Bwana atabomoa madhabahu zao 2 na kuharibu mawe yao ya ibada. 1
Matthew 6:24“Hakuna mtu awezaye kuwatumikia mabwana wawili. Kwa kuwa atamchukia huyu na kumpenda yule mwingine, au atashikamana sana na huyu na kumdharau yule mwingine. Hamwezi kumtumikia Mungu pamoja na Mali. + 6:24 Mali (au Utajiri) hapa inatoka neno Mamoni kwa Kiaramu au Mamona kwa Kiyunani. 1 Msiwe Na Wasiwasi
2 Peter 2:14Wakiwa na macho yaliyojaa uzinzi, kamwe hawaachi kutenda dhambi. Huwashawishi wale wasio imara. Wao ni hodari kwa kutamani; ni wana wa laana!