Genesis 19:33
Usiku ule walimnywesha baba yao mvinyo, alipolewa binti yake mkubwa akaingia na kukutana naye kimwili. Baba yao hakujua wakati binti yake alipoingia kulala naye wala alipotoka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32Tumnyweshe baba yetu mvinyo kisha tukutane naye kimwili ili tuhifadhi uzao wetu kupitia baba yetu.”
Cross References
Leviticus 18:6“ ‘Hakuna mtu awaye yote atakayemsogelea ndugu wa karibu ili kukutana naye kimwili. Mimi ndimi Bwana.
Proverbs 23:29Ni nani mwenye ole? 2 Ni nani mwenye huzuni? 1 Ni nani mwenye ugomvi? 2 Ni nani mwenye malalamiko? 1 Ni nani aliye na majeraha yasiyo na sababu? 2 Ni nani mwenye macho mekundu? 1