The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 23 › Proverbs 23:29

Proverbs 23:29

Ni nani mwenye ole? 2 Ni nani mwenye huzuni? 1 Ni nani mwenye ugomvi? 2 Ni nani mwenye malalamiko? 1 Ni nani aliye na majeraha yasiyo na sababu? 2 Ni nani mwenye macho mekundu? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who hath woe? who hath sorrow? who hath contentions? who hath babbling? who hath wounds without cause? who hath redness of eyes?

In Context

28Kama mnyangʼanyi, hungojea akivizia, 2 naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume. 1

30Ni hao wakaao sana kwenye mvinyo, 2 hao waendao kuonja mabakuli ya mvinyo uliochanganywa. 1

Read all of Proverbs 23

Cross References

Genesis 49:12Macho yake yatakuwa mekundu kwa divai, 2 meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa. 1

2 Samuel 13:28Absalomu aliagiza watu wake, “Sikilizeni! Wakati Amnoni atakapokuwa amekunywa mvinyo na kulewa sana nami nikiwaambia, ‘Mpigeni Amnoni,’ basi muueni. Msiogope. Je, si mimi niliyewapa amri hii? Kuweni hodari na wenye ushujaa.”

Proverbs 20:1Mvinyo ni mdhihaki na kileo ni mgomvi; 2 yeyote apotoshwaye navyo hana hekima. 1

Isaiah 5:11Ole wao wale waamkao asubuhi na mapema 2 wakikimbilia kunywa vileo, 1 wale wakawiao sana mpaka usiku, 2 mpaka wamewaka kwa mvinyo. 1

Isaiah 28:7Hawa pia wanapepesuka kwa sababu ya mvinyo, 2 wanayumbayumba kwa sababu ya kileo: 1 Makuhani na manabii wanapepesuka kwa sababu ya kileo, 2 wanachanganyikiwa kwa sababu ya mvinyo; 1 wanapepesuka wanapoona maono, 2 wanajikwaa wanapotoa maamuzi. 1

Matthew 24:49kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 23:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 23:28Proverbs 23Proverbs 23:30 →