Genesis 19:35
Kwa hiyo wakamnywesha baba yao mvinyo tena usiku ule, naye binti yake mdogo akaingia, akakutana naye kimwili. Kwa mara nyingine baba yao hakujua binti yake alipolala naye wala alipoondoka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
36Hivyo binti wawili wa Loti wakapata mimba kwa baba yao.
Cross References
Proverbs 24:16Kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena, 2 lakini waovu huangushwa chini na maafa. 1
Luke 21:34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.
1 Peter 4:7Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba.