1 Peter 4:7
Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But the end of all things is at hand: be ye therefore sober, and watch unto prayer.
In Context
8Zaidi ya yote, dumuni katika upendo kwa maana upendo husitiri wingi wa dhambi.
Cross References
Ecclesiastes 7:2Afadhali kwenda kwenye nyumba ya msiba 2 kuliko kwenda kwenye nyumba ya karamu, 1 kwa kuwa kifo ni hatima ya kila mwanadamu, 2 imewapasa walio hai kuliweka hili mioyoni mwao. 1
Ezekiel 7:2“Mwanadamu, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo kwa nchi ya Israeli: Mwisho! Mwisho umekuja juu ya pembe nne za nchi.
Matthew 24:13lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Matthew 25:13“Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. 1 Mfano Wa Watumishi Watatu Na Talanta (Luka 19:11-27)
Mark 13:33Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia.
Luke 21:34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.