Genesis 2:11
Mto wa kwanza uliitwa Pishoni, nao huzunguka nchi yote ya Havila ambako kuna dhahabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Mto wa kunyeshea bustani ulitiririka toka Edeni, kuanzia hapa ukagawanyika kuwa mito minne.
12(Dhahabu ya nchi hiyo ni nzuri, bedola na vito shohamu pia hupatikana huko.)
Cross References
Genesis 10:29Ofiri, Havila na Yobabu. Hawa wote walikuwa wana wa Yoktani.
1 Samuel 15:7Ndipo Sauli akawashambulia Waamaleki toka Havila mpaka Shuri, hadi mashariki ya Misri.
Job 28:1“Kuna machimbo ya fedha, 2 na mahali dhahabu isafishwapo. 1