The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 2 › Genesis 2:22

Genesis 2:22

Kisha Bwana Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwenye ule ubavu aliouchukua kutoka kwa huyo mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa huyo mwanaume.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the rib, which the LORD God had taken from man, made he a woman, and brought her unto the man.

In Context

21Hivyo Bwana Mungu akamfanya Adamu kulala usingizi mzito, naye alipokuwa amelala akachukua moja ya mbavu zake, akapafunika mahali pale kwa nyama.

23Huyo mwanaume akasema, 1 “Huyu sasa ni mfupa wa mifupa yangu 2 na nyama ya nyama yangu, 1 ataitwa ‘mwanamke,’ + 2:23 Jina la Kiebrania la mwanamke linafanana na lile la mwanaume. 2 kwa kuwa alitolewa katika mwanaume.”

Read all of Genesis 2

Cross References

Genesis 2:19Basi Bwana Mungu alikuwa amefanyiza kutoka ardhi wanyama wote wa porini na ndege wote wa angani. Akawaleta kwa huyu mtu aone atawaitaje, nalo jina lolote alilokiita kila kiumbe hai, likawa ndilo jina lake.

Proverbs 18:22Apataye mke apata kitu chema 2 naye ajipatia kibali kwa Bwana. 1

1 Corinthians 11:8Kwa maana mwanaume hakutoka kwa mwanamke, bali mwanamke alitoka kwa mwanaume.

Hebrews 13:4Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi yawe safi, kwa kuwa Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati wote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 2:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 2:21Genesis 2Genesis 2:23 →