Genesis 2:23
Huyo mwanaume akasema, 1 “Huyu sasa ni mfupa wa mifupa yangu 2 na nyama ya nyama yangu, 1 ataitwa ‘mwanamke,’ + 2:23 Jina la Kiebrania la mwanamke linafanana na lile la mwanaume. 2 kwa kuwa alitolewa katika mwanaume.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 9:2“Waulizeni watu wote wa Shekemu, ‘Lipi lililo bora kwenu: Kutawaliwa na wana wote sabini wa Yerub-Baali, au mtu mmoja peke yake?’ Kumbukeni kwamba, mimi ni mfupa wenu nyama yenu hasa.”
2 Samuel 19:13Nanyi mwambieni Amasa, ‘Je, wewe si nyama yangu mwenyewe na damu yangu? Mungu na anishughulikie, tena kwa ukali, kama kuanzia sasa na kuendelea wewe si jemadari wa jeshi langu mahali pa Yoabu.’ ”
Ephesians 5:28Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.