Genesis 21:11
Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa sababu lilimhusu mwanawe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the thing was very grievous in Abraham’s sight because of his son.
In Context
Cross References
Genesis 17:18Abrahamu akamwambia Mungu, “Laiti Ishmaeli naye angeshiriki baraka yako!”
2 Samuel 18:33Mfalme akatetemeka. Akapanda chumbani juu kupitia langoni akilia. Alipokuwa akienda, akasema, “Ee mwanangu Absalomu! Mwanangu, mwanangu Absalomu! Laiti ningekufa badala yako: Ee Absalomu, mwanangu, mwanangu!”
Hebrews 12:11Kuadibishwa wakati wowote hakuonekani kuwa kitu cha kufurahisha bali chenye maumivu kinapotekelezwa. Lakini baadaye huzaa matunda ya haki na amani kwa wale waliofunzwa nayo.