The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 18 › 2 Samweli 18:33

2 Samweli 18:33

Mfalme akatetemeka. Akapanda chumbani juu kupitia langoni akilia. Alipokuwa akienda, akasema, “Ee mwanangu Absalomu! Mwanangu, mwanangu Absalomu! Laiti ningekufa badala yako: Ee Absalomu, mwanangu, mwanangu!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the king was much moved, and went up to the chamber over the gate, and wept: and as he went, thus he said, O my son Absalom, my son, my son Absalom! would God I had died for thee, O Absalom, my son, my son!

In Context

32Mfalme akamuuliza huyo Mkushi, “Je, kijana Absalomu yuko salama?” Huyo Mkushi akajibu, “Adui wa mfalme bwana wangu na wote wale walioinuka kukudhuru na wawe kama huyo kijana.”

Read all of 2 Samweli 18

Cross References

Genesis 21:11Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa sababu lilimhusu mwanawe.

2 Samuel 12:10Basi kwa hiyo, upanga hautaondoka nyumbani mwako kamwe kwa sababu ulinidharau mimi na kumchukua mke wa Uria, Mhiti kuwa mkeo.’

2 Samuel 19:1Yoabu akaambiwa, “Mfalme analia na kumwombolezea Absalomu.”

Psalms 103:13Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, 2 ndivyo Bwana anavyowahurumia wale wanaomcha; 1

Proverbs 17:25Mwana mpumbavu huleta huzuni kwa baba yake 2 na uchungu kwa yeye aliyemzaa. 1

James 5:17Eliya alikuwa mwanadamu kama sisi. Akaomba kwa bidii kwamba mvua isinyeshe, nayo haikunyesha juu ya nchi kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 18:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 18:322 Samweli 18