Genesis 21:24
Abrahamu akasema, “Ninaapa hivyo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Abraham said, I will swear.
In Context
Cross References
Genesis 14:13Mtu mmoja aliyekuwa ametoroka akaja kumpa Abramu Mwebrania taarifa. Wakati huu Abramu alikuwa anaishi karibu na mialoni ya Mamre Mwamori, aliyekuwa ndugu yake Eshkoli na Aneri, ambao wote walikuwa wameungana na Abramu.
Hebrews 6:16Wanadamu huapa kwa yeye aliye mkuu kuwaliko, nacho kiapo hicho huthibitisha kile kilichosemwa na hivyo humaliza mabishano yote.