Genesis 21:25
Ndipo Abrahamu akalalamika kwa Abimeleki kuhusu kisima cha maji ambacho watumishi wa Abimeleki walikuwa wamekinyangʼanya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Abrahamu akasema, “Ninaapa hivyo.”
Cross References
Genesis 26:15Kwa hiyo visima vyote vilivyochimbwa na watumishi wakati wa Abrahamu baba yake, Wafilisti wakavifukia, wakavijaza udongo.
Genesis 26:21Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna. + 26:21 Sitna maana yake Upinzani.
Exodus 2:15Farao aliposikia jambo hili, alijaribu kumuua Mose, lakini Mose akamkimbia Farao na kwenda kuishi katika nchi ya Midiani, akaketi kando ya kisima.
Proverbs 17:10Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua 2 kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. 1
Proverbs 27:5Afadhali karipio la wazi 2 kuliko upendo uliofichika. 1