The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 21 › Genesis 21:7

Genesis 21:7

Akaongeza kusema, “Nani angemwambia Abrahamu kuwa Sara angenyonyesha watoto? Tena nimemzalia mwana katika uzee wake.” 1 Hagari Na Ishmaeli Wafukuzwa

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And she said, Who would have said unto Abraham, that Sarah should have given children suck? for I have born him a son in his old age.

In Context

6Sara akasema, “Mungu ameniletea kicheko, kila mmoja atakayesikia jambo hili atacheka pamoja nami.”

8Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya. Siku hiyo Isaki alipoachishwa kunyonya, Abrahamu alifanya sherehe kubwa.

Read all of Genesis 21

Cross References

Genesis 18:11Abrahamu na Sara walikuwa wazee tena waliosogea miaka, naye Sara alikuwa amekoma katika desturi ya wanawake.

Deuteronomy 4:32Sasa uliza kuhusu siku za zamani, zamani kabla ya wakati wako, tangu siku ile Mungu alipomuumba mtu juu ya nchi, uliza kutoka mwisho mmoja wa mbingu mpaka mwisho mwingine wa mbingu. Je, kumepata kutokea jambo jingine lililo kubwa kama hili, au kuna jambo jingine kama hilo limepata kusikiwa?

1 Kings 11:20Huyo ndugu wa Tapenesi akamzalia mwana aliyeitwa Genubathi, ambaye alilelewa na Tapenesi katika jumba la kifalme. Huko Genubathi aliishi pamoja na watoto wa Farao mwenyewe.

Psalms 86:10Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu; 2 wewe peke yako ndiwe Mungu. 1

Isaiah 66:8Ni nani amepata kusikia jambo kama hili? 2 Ni nani amepata kuona mambo kama haya? 1 Je, nchi yaweza kuzaliwa kwa siku moja, 2 au taifa laweza kutokea mara? 1 Mara Sayuni alipoona utungu, 2 alizaa watoto wake. 1

2 Thessalonians 1:10siku hiyo atakapokuja kutukuzwa katika watakatifu wake na kustaajabiwa miongoni mwa wote walioamini. Ninyi pia mtakuwa miongoni mwa hawa kwa sababu mliamini ushuhuda wetu kwenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 21:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 21:6Genesis 21Genesis 21:8 →