Isaya 66:8
Ni nani amepata kusikia jambo kama hili? 2 Ni nani amepata kuona mambo kama haya? 1 Je, nchi yaweza kuzaliwa kwa siku moja, 2 au taifa laweza kutokea mara? 1 Mara Sayuni alipoona utungu, 2 alizaa watoto wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7“Kabla hajasikia utungu, alizaa; 2 kabla hajapata maumivu, 2 alizaa mtoto mwanaume. 1
Cross References
Isaiah 64:4Tangu nyakati za zamani hakuna yeyote aliyesikia, 2 hakuna sikio lililotambua, 1 hakuna jicho lililomwona Mungu mwingine ila wewe, 2 anayetenda mambo kwa ajili ya wale wamngojeao. 1
Acts 4:4Lakini wengi waliosikia lile neno waliamini, idadi yao ilikuwa yapata wanaume 5,000.
Romans 15:18Kwa maana sitathubutu kusema kitu chochote zaidi ya kile ambacho Kristo amefanya kwa kunitumia mimi katika kuwaongoza watu wa Mataifa wamtii Mungu kwa yale niliyosema na kufanya,