Genesis 22:12
Akamwambia, “Usimdhuru kijana, wala usimtendee jambo lolote. Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwa sababu hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 20:11Abrahamu akajibu, “Niliwaza kwamba, ‘Hakika hakuna hofu ya Mungu mahali hapa, nao wataniua kwa sababu ya mke wangu.’
Genesis 26:5kwa sababu Abrahamu alinitii mimi akatunza kanuni zangu na maagizo yangu, amri zangu pamoja na sheria zangu.”
Exodus 20:20Mose akawaambia watu, “Msiogope! Mungu amekuja kuwajaribu, ili kwamba hofu ya Mungu iwakalie, msitende dhambi.”
1 Samuel 15:22Lakini Samweli akajibu: 1 “Je, Bwana anafurahia sadaka za kuteketezwa na dhabihu 2 kama vile kuitii sauti ya Bwana? 1 Kutii ni bora zaidi kuliko dhabihu, 2 nako kusikia ni bora 2 kuliko mafuta ya kondoo dume. 1
Job 5:19Kutoka majanga sita atakuokoa; 2 naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe. 1
Psalms 1:6Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki, 2 bali njia ya waovu itaangamia.