Ayubu 5:19
Kutoka majanga sita atakuokoa; 2 naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He shall deliver thee in six troubles: yea, in seven there shall no evil touch thee.
In Context
18Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; 2 huumiza, lakini mikono yake pia huponya. 1
20Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo, 2 naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga. 1
Cross References
Psalms 34:20huhifadhi mifupa yake yote, 2 hata mmoja hautavunjika. 1
Psalms 91:3Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji, 2 na maradhi ya kuambukiza ya kuua. 1
Proverbs 6:16Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, 2 naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: 3
Isaiah 43:2Unapopita kwenye maji makuu, 2 nitakuwa pamoja nawe, 1 unapopita katika mito ya maji, 2 hayatakugharikisha. 1 Utakapopita katika moto, 2 hutaungua, 2 miali ya moto haitakuunguza. 1
Daniel 3:25Mfalme akasema, “Tazama! Naona watu wanne wakitembeatembea ndani ya moto, hawajafungwa wala kudhurika, naye mtu yule wa nne anaonekana kama mwana wa miungu.”
1 Corinthians 10:13Hakuna jaribu lolote lililowapata ambalo si la kawaida kwa wanadamu. Naye Mungu ni mwaminifu; hataruhusu mjaribiwe kupita mnavyoweza. Lakini mnapojaribiwa atawapa njia ya kutokea ili mweze kustahimili. 1 Karamu Za Sanamu Na Meza Ya Bwana